Si ndo wameanza kuchonganisha, hatudanganyiki
Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??
Mhe Zitto Kabwe ahusishwa na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini
Zitto tunaomba maelezo yako kuhusu kuhusika kwako na Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini - SMS zilikutwa kwa Mgombea huyo zikikuhusisha wewe ndio maana hukuweza kutokea kwenye Ufunguzi wa Kampeni Za Chadema na hujaonekana Makao makuu ya Chama kitambo
Aibu sana kijana
hawa mbona ni after money, hawa sio watetezi kabisa wa wananchi.
hivi kweli kuna watu wanona kuwa chadema ni kimbilio la wanyonge?
hawa wote ni wasaka tonge na hili linajulikana vyema
Wewe ni Mbea. Wakati tumemona ata kwenye magazeti amepigwa picha huko na kwenye TV yako ambayo mmewakatia mda. Acha zako.:mad2:Nimeipata hii...unazunguka kwenye wanabidii net huko.....Kuna mwenye uhakika??