Elections 2010 Mhe Zitto Kabwe Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

Ule mkakati tuliotaarifiwa kuwa unasukwa kuwagombanisha viongozi wa Chadema sasa umewiva na uko mezani, lakini nauona umechacha. Labda watakula walevi tu wasioweza konja ladha ya kitu.

MBONA SWALI LILIKUWA DOGO TUU...
Kuna mwenye uhakika?? NA taarifa hizo?
Maneno mia kidogo
 

Naona hii JF = CHADEMA

Nimeuliza Swali dogo sana KUNA MWENYE UHAKIKA???
Issue iko kwenye WANABIDII forum already
 

Mnaangaika weeee hakuna pa kutokea tulia mama kwanza kapige mswaki
 

Remmy, hatuongelei ushabiki, hapa tunapanuana mawazo, ushabiki ndio uliotufikisha hapa tulipo, wa-tz hawapaswi kutoa maamuzi kwa ushabiki, badala yake tu analyse critically wagombea wetu ktk vyama vyote na kwa ngazi zote, kama kuna weak link tuna 'eliminate' na kusonga mbele. Deep down the brain of urs u admit that ccm imebolonga kwa kiasi kikubwa, bila ya ushabiki wala nini, honestly, inapaswa ikae benchi!
Kuhusu Zitto, hata mimi kuna kipindi sikumuelewa alipoanza kujaribu kutetea uozo. Hata hivyo naamini ni binadamu sometime anaweza teleza! Na kama amehusika ktk hili la rushwa hapaswi kutetewa, he must be responsible 4 his own actions!
 
hawa mbona ni after money, hawa sio watetezi kabisa wa wananchi.


hivi kweli kuna watu wanona kuwa chadema ni kimbilio la wanyonge?

hawa wote ni wasaka tonge na hili linajulikana vyema

POLE sana mtu wa Pwani, naona siku zenu za kula bila jasho zinahesabika. Jifunze sasa kufanya kazi .....
 

Kwa unafiki wako na umbea wa kifisadi .... unaonaje ukiongea na huyu dada hapa chini:



Au huyu baba anayekula busu hapa chini:

 
MTU 66...... NIKUPE USHAURI KIDOGO.......CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM(UDSM).A.K.A MLIMANI......wao huamini hakuna chuo kingine zaidi yao......lakini ukweli ni kwamba VINGI VIPO TENA VINGI TU......the same to jamiiforums a.k.a chadema....! they think they are the only think tank of the tanzanian population politically(aas they stand on chadema and chadema on them).....they dont need anything negative, even if its true...! as i said simamia ukweli,uwazi heshima ya member mmoja mmoja kama nimuonavyo MWANAMOSI JAPO AMEJOIN AUGUST 2010
 

HERO....YOU STAND TO BE TANZANIAN....HUO NDO UKWELI WA MAMBO SIO KUWA UPANDE FULANI...HUTATENDA HAKI UKIEGEMEA UPANDE MMOJA.......KUNA CHAMA KIMEKOSEA...NA KUNA MTU AMEKOSEA.....! maslahi ya TAIFA LETU YAWE MBELE THEN MENGINE YAFUATE...! THANX HERO AND MWANAMOSI FOR YOUR USEFUL POSTS...!
 
Niliwahi kusema kuwa Zitto ana njaa na tamaa ya pesa, pia huyu bwana mdogo hajui anajitafutia kifo cha kisiasa, hivi hamjaona ametoa tangazo la kuomba kuchangiwa pesa za uchanguzi, na details alizotoa A/C # yake na Mpesa ya # yake, hivyo pesa zake haziingii kwenye A/C ya Chadema..

Na Muombea huyu dogo hashindwe vibaya sana jimboni kwake maana ni kigeugeu
 

NAONA UCHADEMA UMETAWALA HAPA...
Mbona ZITTO mwenyewe hajibu?
Si ni mwanachama hapa?

Kishaonjeshwa kipande cha nyama ya Binadamu
 

How do you know that it is RUBBISH!!!!

Mind you I am not a member of any party...[/QUOTE]

i HOPE you do not know which is your left hand or right hand pack off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…