Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Tukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona..View attachment 1409508ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
Tutajie jina la kipa kwanza mkuu
Hahaha! Umeteleza ndugu, iangalie vizuri hiyo picha.
Kipa anaitwa Coupet Gregory ..Tutajie jina la kipa kwanza mkuu
Sio mkuu...Zidane alikuwa mdogo na Henry ndo acha kabisa alikuwa na miaka 17 tu.
Hiyo ni France na Cameroon kombe la mabara 2003 pale colombia ..
Kipindi hicho nawaza kulamba makamasi tu
Kazini....Tukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
France vs Senegal world cup 1998Tukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
FRANCE 1998 nlikua form2, hii finali nliichek night maeneo ya Mbezi Tangi mbovuTukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
FRANCE 1998 nlikua form2, hii finali nliichek night maeneo ya Mbezi Tangi mbovu