Mheshimiwa Hole in the Knife watahakikisha hupati nafasi ya kutoa posa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Huyu aliyepata bahati ya kumpata mwari kwa miaka mitano Anayajua aliyimfanyia mwari huyu. Mwari na wanae wamemchoka hilo anakijua fika.

Kila anaethubutu kumkaribia mwari huyu ana kiona cha moto, na wewe ukiwa mmoja wapo.

Wewe umekuwa mbabe tena kwenda mitaani na kumwanika mheshimiwa tena wazi wazi. Unamnyima usingizi, na chombo cha usafiri kikawekwa mitandaoni kuwa kitahamasisha harakati zako za posa.

Hii kesi ya utukutu ni because tu, hawataki asilani ufike kule kwenye kutoa posa. Wanafahamu kuwa kule kukuu ulikoenda kupeleka malalamiko utasikilizwa na utashinda. Lakini kesi itapigwa danadana mpaka baada ya mtoa posa kufunga ndoa tena kwa mkataba wa miaka mitano.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chautundu wako.
 
Write your reply...tundu kwenye kisu

you mean tundu lssu

fake πŸ†” mbona unazunguka mkuu
 
Nilivyoona hilo neno hole nikajua ni Mada inayozungumzia tuzi kumbe jina la mtu mkuu we ungeandika tu wengine tuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…