karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 137
Sisi ni wafanyakazi wa idara ya ukaguzi,tunaomba wakaguzi wakuu wa kanda wabadilishwe mara moja ili kuongeza ufanisi katika idara hii,maana kuna wakaguzi wakuu wamekaa muda sana na wanajifanya hizi kanda kama za kwao,tunakuomaba sana mh. mhangama wabadilishe mapema.