Mheshimiwa John Komba kwenye EATV-Mkasi

Mheshimiwa John Komba kwenye EATV-Mkasi

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,659
Nimetoka kumsikia anasema mtoto wake mmoja ametoka kuchukua cpa juzi, sijaelewa kama alikuwa anamaanisha kwamba ametoka kufanya mitihani ya nbaa may hii, au amegraduate mwaka jana.

huyu muhasibu mwenzangu sijui yeye atakuwa ametumia technique gani kwenda kuchukua cpa, kachukua tu.
 
Hayo ni maneno ya mhe. Komba
Ccm ni sawa na nyavu ya kokolo ambayo huweza kuvua vitu mbalimbali kama makopo, samaki, mijusi.

Ametoa mfano huo akisema ccm haina tofauti na nyavu hizo imesheheni wanasiasa wazuri, wabovu, matahira,.

Akiwa kweny kipindi cha mkasi.

Naona kimerudiwa kwa wkti muafaka.

Salama jabir alivyomchokozi wa maswali akamswalika kuhusiana kama ameshatembea na baadhi ya member wa tot..

Komba akakana na kusema hajawahi.

Wahenga wlisema: lisemwalo lipo kama halipo linakuja kwa namna tofauti.

Source: mkasi show.
 
hivi wewe unajua maana ya live??? Hizi akili za darasa la saba tabu tupu...sikushangai ndio sifa ya bavicha hii.

mkuu unataka kusema simuoni au ulitaka neno live lionyeshwe?
Kama huna kasreeni kaa utulie tukuletee nyuzi za huyu msaka tonge.
Mcheki hapa basi!
 
Nimetoka kumsikia anasema mtoto wake mmoja ametoka kuchukua cpa juzi, sijaelewa kama alikuwa anamaanisha kwamba ametoka kufanya mitihani ya nbaa may hii, au amegraduate mwaka jana.

huyu muhasibu mwenzangu sijui yeye atakuwa ametumia technique gani kwenda kuchukua cpa, kachukua tu.

Hahaaaaa
 
Hayo ni maneno ya mhe. Komba
Ccm ni sawa na nyavu ya kokolo ambayo huweza kuvua vitu mbalimbali kama makopo, samaki, mijusi.

Ametoa mfano huo akisema ccm haina tofauti na nyavu hizo imesheheni wanasiasa wazuri, wabovu, matahira,.

Akiwa kweny kipindi cha mkasi.

Naona kimerudiwa kwa wkti muafaka.

Salama jabir alivyomchokozi wa maswali akamswalika kuhusiana kama ameshatembea na baadhi ya member wa tot..

Komba akakana na kusema hajawahi.

Wahenga wlisema: lisemwalo lipo kama halipo linakuja kwa namna tofauti.

Source: mkasi show.
Vipi huyo msema ovyo Salama hajamuuliza kuhusu zile picha ambazo huyo bonge Komba, amepozi na yule binti wa khanga moja?
 
Mtu anahaki ya kutoa mawazo yake hata kama ni mawazo ya kijanga kama haya ya kwako.
 
Vipi huyo msema ovyo Salama hajamuuliza kuhusu zile picha ambazo huyo bonge Komba, amepozi na yule binti wa khanga moja?

Bahati yake hiki ni kipindi recorded.kilishawahi kuonyeshwa kabla.

Salama alimuuliza kuhusu kuwatembezea dushe wanawake member wa tot, akakanusha.
 
Ukimwangalia utajua CCM imejaza MISUKULE BUNGENI APELEKWE GWAJIMA AKAISHUSHE DARINI IACHE KULA PUMBA NA MAJIVU
 
Anamsifu mkewe Salome kwa kuwalea watoto ambao hajawazaa, kumbe komba mchepuko hajaanza jana

Umeonaeee,hivyo utetezi Wake kuwa zile picha ni za ku édit hauna maana Tena.
 
Akihojiwa katika kipindi cha Mkasi cha EATV jana saa tatu na kurudiwa leo juma nne, Capt Komba amekiri kwa kinywa Chake kuwa CCM ina watu matahira, amewafananisha baadhi ya wanachama wa CCM na mijusi kwenye kokoro.
nimekuwa puzzled kidogo na hii statement ya captain.
 
Je Komba naye, ni mjusi au taahira; ndiyo maana alisema ataenda msituni zikija Serikali tatu????!!!
 
Kwani ni siri angalia the fweero mwanadiwani lizabooty na msalan booty na wengine lazima wajitambue na tujitaidi kuwapa elim ya kuwaokoa mahana hwana shule kazi sasa ndio mahana wanatangatanga.
 
Back
Top Bottom