hivi wewe unajua maana ya live??? Hizi akili za darasa la saba tabu tupu...sikushangai ndio sifa ya bavicha hii.
Nimetoka kumsikia anasema mtoto wake mmoja ametoka kuchukua cpa juzi, sijaelewa kama alikuwa anamaanisha kwamba ametoka kufanya mitihani ya nbaa may hii, au amegraduate mwaka jana.
huyu muhasibu mwenzangu sijui yeye atakuwa ametumia technique gani kwenda kuchukua cpa, kachukua tu.
Vipi huyo msema ovyo Salama hajamuuliza kuhusu zile picha ambazo huyo bonge Komba, amepozi na yule binti wa khanga moja?Hayo ni maneno ya mhe. Komba
Ccm ni sawa na nyavu ya kokolo ambayo huweza kuvua vitu mbalimbali kama makopo, samaki, mijusi.
Ametoa mfano huo akisema ccm haina tofauti na nyavu hizo imesheheni wanasiasa wazuri, wabovu, matahira,.
Akiwa kweny kipindi cha mkasi.
Naona kimerudiwa kwa wkti muafaka.
Salama jabir alivyomchokozi wa maswali akamswalika kuhusiana kama ameshatembea na baadhi ya member wa tot..
Komba akakana na kusema hajawahi.
Wahenga wlisema: lisemwalo lipo kama halipo linakuja kwa namna tofauti.
Source: mkasi show.
Mtu anahaki ya kutoa mawazo yake hata kama ni mawazo ya kijanga kama haya ya kwako.
Vipi huyo msema ovyo Salama hajamuuliza kuhusu zile picha ambazo huyo bonge Komba, amepozi na yule binti wa khanga moja?
Hivi wewe unajua maana ya LIVE??? Hizi akili za darasa la saba tabu tupu...sikushangai ndio sifa ya bavicha hii.
Anamsifu mkewe Salome kwa kuwalea watoto ambao hajawazaa, kumbe komba mchepuko hajaanza jana
Ni jamaa aliyeahidi kuingia msituni ikiwa serikali tatu itapita.
Na ni mmoja ya watu wanao vuma sana kwa sasa kulingana na umaarufu fulani aliojizolea kwenye mitandao ya kijamii.
Nawasilisha.
Ni mimi.[/QUOTE Hebu nisikilize
BOFYA: Mkasi – SO7E05 With Mh Komba – Official
Msitu wa zivuma(kinyume chake)
Dada yangu mwenzio anhanza kujitambua wewe vipi jitambueJe Komba naye, ni mjusi au taahira; ndiyo maana alisema ataenda msituni zikija Serikali tatu????!!!