Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

Mkuu hii komenti yako ya 2009 uliona mbali sana... Na haya ndio yanatokea now
 
Mmh uliona mbali sana wewe ndugu
 
Huyu aliona Jambo pia, kudos to you kaka
 
Ametuletea bwawa, reli ya umeme, ametuhamishia dodoma na kutuachia flyover.
 
Hii ni product ya enzi ile ya JF kuwa Home of Great Thinkers kweli sio uozo uliojaa saa wa vitoto vinavyoongelea nguvu za kiume na kubet.

Mwenye hiyo comment hapo juu kama bado upo hai na upo humu hakika wewe ni una maono ya mbali na ya kweli.
 
Katika vitu nchi hii ilifanya makosa ni vitatu, cha kwanza azimio la arusha pili kumpitisha jpm, tatu wachangiaji kwenye uzi huu, kosa lao halitasahaulika milele
Ningeomba kupata ufafanuzi katika hoja yako ya hayo mambo 3 ambayo kama nchi tulikosea
 
Those days....
 
Hii ni product ya enzi ile ya JF kuwa Home of Great Thinkers kweli sio uozo uliojaa saa wa vitoto vinavyoongelea nguvu za kiume na kubet.

Mwenye hiyo comment hapo juu kama bado upo hai na upo humu hakika wewe ni una maono ya mbali na ya kweli.
Last seen Jan 2022
 
Ulikuwa sahihi sana, Magufuli hakustahili kufikia cheo Cha urais kwa aina ya hii katiba tuliyonayo, maana alikuwa na ulevi wa dhahiri wa madaraka. Na aliposhika madaraka ulevi wake ulidhihirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…