Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sio wote mkuu, wengine ni normal workers ila walikuwa Wana tazama vitu kwa kina ZAIDI.Wengi walikua watu waliopo kwenye mfumo mzee
Hata sasa bado ipo vizuri. Nyuzi ni vile tunavyozipokea. Naamini zote zinafundisha hata kama hazina maudhui mazuriWhen jf was jf, sema mabadiliko lazima yawepo.
Mtu aliekua na access ya smartphone 2006🤔🤔aiseeeSio wote mkuu, wengine ni normal workers ila walikuwa Wana tazama vitu kwa kina ZAIDI.
Mfano secretary wa jpm, lazima ajue huyu mtu ni wa aina gani, when he is pissed ana kuwaje.
Uliwaonya mapema.😀😀Wachina wana usemi; uwe mwangalifu unachoombea maana unaweza kukipata!
amandla.....
We nae kichwa kigumu, smart phone gani??.Mtu aliekua na access ya smartphone 2006🤔🤔aiseee
Mkuu heshima kwako🙌Mbona mnashindwa kutoa sababu? Kama ni ufanya kazi tu mbona Lowassa alikuwa ni mchapa kazi asiye mfano? Toeni sababu na mafanikio ya huyu bwana!
Siasa za ushabiki ndizo zilizotufikisha hapa. Kama mnataka kuziendelea basi msimlalamikie mliemchagua kwa kishindo!
Amandla.......
Labda unaongelea Blackberry curve, lakini Blackberry hizo zilikuwa ni smartphone, mwaka 2006 kama hauna access ya laptop wengi tulitumia Blackberry kuingia Jambo forum, mara nyingi sipendi kuzurura na laptop.We nae kichwa kigumu, smart phone gani??.
Una hisi wote walikuwa na smart phone mzee.
HAKU kuwa na computer??, simu za button zilikuwa Zina ingia online.
My father alikuwa nayo, na nime itumia sana
Mtoto akililia wembe......Mbona mnashindwa kutoa sababu? Kama ni ufanya kazi tu mbona Lowassa alikuwa ni mchapa kazi asiye mfano? Toeni sababu na mafanikio ya huyu bwana!
Siasa za ushabiki ndizo zilizotufikisha hapa. Kama mnataka kuziendelea basi msimlalamikie mliemchagua kwa kishindo!
Amandla.......
Ewaa, ni hiyo hiyo mkuu, ile kitu ilikuwa hatarii sana.Labda unaongelea Blackberry curve, lakini Blackberry hizo zilikuwa ni smartphone, mwaka 2006 kama hauna access ya laptop wengi tulitumia Blackberry kuingia Jambo forum, mara nyingi sipendi kuzurura na laptop.
kuna wengine wenye akili zao timamu waliamua kujitoa tu humu JF baada ya vitoto vya 2005 kuanza kujaa humu.Last seen Jan 2022
Mfano mzuri ni mimi 2005 nilikua na blackberry yenye access na mtandaoWe nae kichwa kigumu, smart phone gani??.
Una hisi wote walikuwa na smart phone mzee.
HAKU kuwa na computer??, simu za button zilikuwa Zina ingia online.
My father alikuwa nayo, na nime itumia sana
Me ninayo mpaka sasa naitumia kwa mambo madogo madogo ya mawasilianoMfano mzuri ni mimi 2005 nilikua na blackberry yenye access na mtandao
Kipindi hcho Niko mwaka wa kwnza by thenMwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za CCM, basi zamu inayofuata.
Vyovyote iwavyo, naamini huyu bwana anafaa kila kona uwanjani anapocheza siasa. Hata PhD aliyoipata majuzi inaongezea chachandu tu, kwamba hatababaishwa na vyeti vya udaktari wa kupewa zawadi tu, maana anayo real one.
Sina uhusiano naye kabisa huyu mtu na wala sijawahi kukaa naye au kuonana karibu, lakini vitu vyake mwisho bwana. Naamini atachagua timu ya washauri inayofanana naye.
Hata kama anayo mapungu yake kama binadamu, the good outways the bad, wakati mwingine analazimika kufanya vitu vingine kwa kuwatii wakubwa zake, lakini akishika rungu mwenyewe nashawishika (sidanganyiki) kwamba ataifaa Tanzania ya sasa.
Leka
Uliona mbali snNajua JPM ni mchapakazi mzuri zaidi ya mawaziri wengine wengi kama siyo wote, ni mfuatiliaji mzuri wa watu wa chini yake, ana uwezo wa kujieleza, kujenga hoja na kizisimamia hata pale hoja hizo zinapokuwa na upinzani wa dhahiri - mfano ni uuzwaji wa nyumba za serikali.
Tatizo langu na huyu jamaa ni moja tu si msikilizaji mzuri na anaweza kuwa "dictator" mzuri sana hasa pale mitazamo na misimamo yake itakapokuwa kinyume na maslahi ya nchi - refer uuzwaji wa nyumba na ubadilishwaji wa ramani ya barabara kuu kupitia wilayani kwao. Wakati wa uuzwaji wa nyuma za serikali JPM alikuwa na majibu ya kejeli - kama ya bosi wake Mkapa - kwa wale wote waliokuwa wanahoji busara ya zoezi lile. Ni aina ya mtu ambaye anapenda kutumia hoja za nguvu badala ya nguvu ya hoja pale anapokabiliwa na wapinzani makini wanaohoji busara za maamuzi na matamshi yake.
Tatizo letu Tanzania ni la kimfumo zaidi kuliko kiongozi mmoja mmoja. Tuna mfumo ambao hauna vidhibiti mwendo kwa kiongozi mkuu kabisa wa nchi na wateule wake hasa pale wanapoamua kushirikiana kuifilisi nchi. Ninashawishika kuamini kuwa hata kama utamweka JPM kama mfumo ni huu huu wa kuwa na imperial president hakuna jambo la maana atakalofanya zaidi ya kujitwalia chake mapema. JPM katika mfumo wetu wa sasa hana tofauti na Benjamin William Mkapa.
Katika mfumo wa sasa nadhani JPM anaweza kuwa mtendaji mzuri akiwa waziri mkuu na apewe mamlaka kamili ya kuwasimamia na kuwawajibisha mawaziri wote.
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za CCM, basi zamu inayofuata.