Mheshimiwa mbowe Katika picha ya Pamoja na kachero mbobezi

Usajili wa kijinga utakufelisha mkuu. Sasa ni vema kusajili timu imara na itakayotuletea matumaini kama si 2020 ama 2025 iwe 2030
 
Lazima tu atakuja CHADEMA maana ni muda mrefu toka aondoke kibaraka sumaye na Lowasa
 
Benard Membe anatakiwa atulie tulii, maji yaliyokorogeka yakitulia atarudishiwa Uanachama

Chama kimemrudishia Uanachama Sophia Simba, Madabida, Madenge na wengine pamoja na makosa yao ya Usaliti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…