Mheshimiwa mbowe Katika picha ya Pamoja na kachero mbobezi

Akubali kugeuzwa kibla sio.!

hahahahaha CCM wanaaminisha hakuna maisha bila CCM, na hapo ndipo watu wanapoanzia kuweka akili mfukoni na kuendekeza tumbo. Huu mfumo wa CCM kwanza Tanzania baadaye tupambane sana tuufute ili jamii ianze kufikiri kwa kutumia akili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…