Mheshimiwa Mpina ondoka leo na siyo kesho hapo CCM

August 83

Member
Joined
Apr 8, 2024
Posts
29
Reaction score
61
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.

Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.

Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
 
Hakika,,tena anatakiwa kuondoka haraka iwezekanavyo 🤒😎
 
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.

Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.

Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Aondoke CCM asiende chooni? we vipi? Kuwepo ccm ndiko kunafamya aende chooni yeye na familia yake na wanaomtegemea.

Hiyo inahitaji ushujaa wa kujirusha toka ghorofani
 
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.

Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.

Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Nje ya CCM nondo hatazipata!! Ngoja kwanza
 
Mpina kawashika njegere, kila mkitaka kufurukuta anabinya basi vinasikika vilio vya "Yalaaaaaaaaaa"!
 
Aondoke halafu aende wapi? Aje huku mtaani atafute na sisi juani! Na wakati hapo alipo mzigo wa kutosha unaingia kwenye akaunti kila mwezi, huku akiwa amekaa kwenye kiyoyozi!!

Mwambie asijaribu. Maana huku mtaani siyo poa hata kidogo. Atazeeka na kufa kabla ya wakati.
 
Mwachieni aendelee kuwa huko huko ndani hadi mwaka 2025 ili aendelee kutujuza kilichopo ndani ya nyumba.
 
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.

Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.

Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Akiondoka asiondoke hana salama.

Asubiri kesi zake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…