Mheshimiwa Ndesamburo


duuuh umeihamishia ile hoja yetu huku!!! Ila kwa hapa nafikri umejitahidi kusema la maana japo nahisi kuna some motivation behind your comments.

Anywayy ni kweli muhimu ni kupambana tena kiume lakini itaongeza ARI ya mapambano hasa ukijua wenzio walifanikiwaje au walipita njia zipi hadi wakafika pale walipo. Sikusema kwa nia mbaya mkuu na wala sikumlenga mtu japo mfano wangu unaharufu hiyo. HOJA IPO PALE PALE...TUJUE WANAPATAJE MIJIHELA YOTEE WAKATI WATANZANIA WENGI NI MASKINI WA KUTUPWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…