Mheshimiwa punguza kubana, umebana hadi miembe haijazaa mwaka huu

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,851
Kwa hali ilivyo aki twafwaaa!

Baada sasa ya migomo kupungua kama sio kutoweka kabisa hususani kwa wafanyakazi wa serikali sasa naona mimea imetupokea adha hii ya migomo hapa naongelea miembe.
Inakuaje December hii hakuna maembe kama ilivyozoeleka?
Ilikuwa miaka mingine muda kama huu unapishana na vidakwa tele kama si maembe kabisa yaloiva ila mwaka huu mmmmmh.

Walioko CHATO tupatieni update za miembe yenu pengine huko inatusua,si mcheza kwao hutunzwa asee.[emoji269]
 
Mi hata kumpa mimba mke wangu imeshindikana since 2015, nmejaribu lakin nmeambulia patupu, lakin before 2015,ilikuwa kugusa tu kitu,hatar sana labda 2025
 
Hatunywi sumu ,hatujinyongi ccm......(malizia ww mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…