Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Mheshimiwa Rais na Wabunge Wetu,
Tunaomba kuanzia mwaka ujao wa fedha 2014/2015 Serikali iongeze kiwango cha Ruzuku kwa kila mwanafunzi wa shule za Msingi na za Sekondari za umma kwa ajili ya uendeshaji wa shule zetu za msingi na sekondari.
Kwa upande wa shule za msingi kiwango kipya cha Ruzuku kinachopendekezwa kwa kila mwanafunzi kwa mwaka ni shilingi elfu 25. Na kwa upande wa Sekondari kiwango kipya cha Ruzuku kinachopendekezwa ni shilingi elfu 75 kwa mwaka kwa kila mwanafunzi.
Pia Mheshimiwa Rais tunaomba fedha hizi za Ruzuku ziwe zinatumwa moja kwa moja kwenye akaunti za shule bila kupitia TAMISEMI NA HALMASHAURI ZETU.
Ni mimi,
Josephat S. Sanda
Kerege
Bagamoyo
0654 467758