Tetesi: Mheshimiwa Rais Samia mapema leo anatarajia kutoa kibali cha ujenzi wa uwanja wa Klabu ya Yanga pale Jangwani

Tetesi: Mheshimiwa Rais Samia mapema leo anatarajia kutoa kibali cha ujenzi wa uwanja wa Klabu ya Yanga pale Jangwani

Mnada wa Mhunze

Senior Member
Joined
Mar 1, 2023
Posts
168
Reaction score
819
Klabu ya Yanga inatarajia leo kupewa zawadi na Rais Samia ya nyongeza ya eneo pale Jangwani ili eneo lile sasa liweze kutumika kwenye upanuzi wa kujengwa kwa uwanja wa mpira wa miguu wa Yanga.

Ifahamike eneo linalo milikiwa na Yanga pale Jangwani ni finyu na tayari Klabu ilikuwa imeiomba Serikali nyongeza ya eneo ili pamoja na mambo mengine waweze kujenga uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki takribani elfu 20.
 
Klabu ya Yanga inatarajia leo kupewa zawadi na Rais Samia ya nyongeza ya eneo pale Jangwani ili eneo lile sasa liweze kutumika kwenye upanuzi wa kujengwa kwa uwanja wa mpira wa miguu wa Yanga...
Mwanangu umejuaje. Sijapanga kutoa kibali ni dhifa ya kuwapongeza tu
 
Pale kwenye mafuriko??

Duuh mbona hatujifunzi lakini??
Hawajapatikana tu ma engineer wenye akili zao.

Jangwani pale oanajengeka vizuri tu, Imepita LAMI ishindikane Msingi wa Ghorofa au Uwanja?

Ni vilaza tu hupewa tenda eneo lile...
 
Hawajapatikana tu ma engineer wenye akili zao.

Jangwani pale oanajengeka vizuri tu, Imepita LAMI ishindikane Msingi wa Ghorofa au Uwanja?

Ni vilaza tu hupewa tenda eneo lile...
Na rasmi Samia kashasema
 
Back
Top Bottom