Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Hayo mabadiliko yanayotakiwa na wananchi yaliainishwa wapi? Natumai unajua kuwa Katiba ninayomaanisha ni maoni ya wananchi.Alisema wanainchi hawaitaji katiba mpya bali mabadiliko ya kweli yenye kuleta maendeleo kwa kasi, na nchi ipande iwe yenye kipato cha kati, na wala hakikua kipaumbele chake
Sidhani kama Wapinzani wanaweza kuweka mkakati wa kuipata katiba kwa kutumia rasimu ya Warioba. Mwaka jana walishindwa kupeleka muswada bungeni wa kubadilisha baadhi ya vipengere vya Katiba ya sasa ili angalau kuwepo na Tume Huru!upinzani waweke mkakati. kabla ya 2020 wahakikishe kwa njia yoyote katiba ya warioba inapita, hiyo ndio hatua ya kwanza kama kweli wana ndoto za kuja kitoa CCM madarakani. sio siri 2015 walichanga karata zao hovyo, badala ya kutumia nguvu nyingi kumnadi mgombea uraisi, walipaswa ku kita mizizi majimboni ili waweze kudhibiti bunge kwanza, na kama wangelikua ni watu serious 2015 ilikua ni golden chance. kushinda ubunge kwa katiba iliyopo ni rahisi kuliko uraisi. kwahiyo unaanza na kudhibiti bunge kisha mnabadilisha katiba, hapo sasa unaweza ukaanza kuota kuhusu kuchukua dola.
Hivi kuna watu wanategemea mabadiliko kutoka kwa huyu Jamaaa .huyu ni mtu mnafiki ever bora jk alijitaidi hâta kuanzisha mchakato pamoja na kupingwa na chama chake huyu Jamaa ni muoga akiitwa pale Lumumba huwa anatia huruma .hana uwezo huo yupo kuwafurahisha walimuweka mtasibiri sana pale sio