Yaani kabisa niishangilie Simba kuwa inawakilisha nchi, hapana hilo sitaweza
na hata wao Simba hawataweza, Ushindi wao dhidi ya Vita umekuwa kero sana
kwangu, Walipofika panatosha MUNGU IBARIKI TP MAZEMBE, MUNGU IANGUSHE
SIMBA KWENYE MCHEZO HUO.
View attachment 1054675
TP Mazembe sio As Vita..5 times CAF Champions League Champions.. ..wanawafunga waarabu kwao..Bakini hivyo hivyo. Simba iyoooo nusu final na inalamba tena dola laki 8 mpo? Endeleeni kupagawatu.