kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa.
Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha mapesa yao ya wizi.
Sasa kwa kuwa familia ya Mheshimiwa Magufuli bado ipo tena wanaishi maisha yao ya dhiki tu pale chato coz hata kiinua mgongo cha baba yao mmewanyima, ebu tuambie,hizo pesa tunazoambiwa Magufuli kazipiga ni kiasi gani na zimefichwa wapi na kwa nini zisitaifishwe ili walau tuwape ahueni familia yake ya kuona mpendwa wao anazodolewa na hili genge lako!