Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 Jan 25, 2014 #1 Kwa wale mlioangalia kipindi cha Malumbano ya Hoja Juzi Jumatano (23/1/2014) Dr Lenny Kasoga aligusia ujumbe kwamba Mh sana hakuytumia jina lake wakati akisoma kwani alisoma shule za dini Je kuna ukweli wowote?
Kwa wale mlioangalia kipindi cha Malumbano ya Hoja Juzi Jumatano (23/1/2014) Dr Lenny Kasoga aligusia ujumbe kwamba Mh sana hakuytumia jina lake wakati akisoma kwani alisoma shule za dini Je kuna ukweli wowote?
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,112 Reaction score 4,540 Jan 25, 2014 #2 Uliangalia/kusikiliza kipindi, tuambie leo huyo mheshimiwa sana ni nani?? Mulugo, Dr. ....???
M mahuyange Member Joined Nov 25, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Jan 25, 2014 #3 Mheshimiwa sana ndio nani sasa.