Mheshimiwa Sugu atakuwepo East African Radio from Saa Saba Today

East African Radio haishiki tena kama kuna ambae atasikia please atujuze what did the he say.... Sababu walisema baadhi ya maswali watakayomuuliza ni je ameshachukua Shangingi lake, na je anaonaje akichukua second hand kwa wabunge waliopita ili aweze kusave pesa
 
Mh. Sugu anasema anti virus zitaendelea kutoka hazitaisha ni ukombozi, Itakuja pia anti virus plolitical version watachana issues mbalimbali kama vile mgao wa umeme nk.
 
shukrani mkuu mimi huku Radio haishiki kabisa... please tumwagie nondo
 
Anamchana Ruge kwa kuwanyonya wasanii. Amefichua kunafungu lilitolewa kwa wasanii na kuliwa na wajanja hivi sasa Waziri Nchimbi anachunguza waliokula fedha za wasanii. Pia anazungumzia studio iliyotolewa na rais kurudishwa kwa wasanii na iwe chini ya chama chao TUMA, kama kweli rais hajampa rafiki yake studio hiyo.
 
ndio imeishia hapo tu?..... ina maana ilikuwa fupi mno kihivyo?
 
Sidhani sababu kina Zembwela walimwabia muendesha kipindi aulize kuhusu mashangingi kama sugu ameshachukua la kwake na kwanini asitafute la second hand
 
sasa zembwela mtu wa midundiko mlitegemea awe na uwezo wa kuuliza maswali ya msingi?,.....ile redio hamna kitu kabisa...wao wapige muziki tu basi...nadhani labda angekuwepo yule jamaa Sebo, labda anemuuliza maswali ya msingi kidogo.
 
Hivi Zembwela nae siku hizi ni mtangazaji? Ni yule comedian ama majina yanafanana?
 
sasa zembwela mtu wa midundiko mlitegemea awe na uwezo wa kuuliza maswali ya msingi?,.....ile redio hamna kitu kabisa...wao wapige muziki tu basi...nadhani labda angekuwepo yule jamaa Sebo, labda anemuuliza maswali ya msingi kidogo.
Hapana ndugu Sugu aliitwa kimuziki zaidi, kwavile kina zembwela ndio walikuwa wanamaliza kipindi chao wakamuomba muendesha kipindi aulize haya maswali...., sasa kabla kipindi hakijaanza redio ikawa haishiki tena am sure ni mengi wameongea... kwahiyo naomba mwenye data atujuze
 
Back
Top Bottom