VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Clouds ni wajinga, eti hadi leo wanaendeleza mabifu ya enzi za ubongo wa fleva
Anamchana Ruge kwa kuwanyonya wasanii. Amefichua kunafungu lilitolewa kwa wasanii na kuliwa na wajanja hivi sasa Waziri Nchimbi anachunguza waliokula fedha za wasanii. Pia anazungumzia studio iliyotolewa na rais kurudishwa kwa wasanii na iwe chini ya chama chao TUMA, kama kweli rais hajampa rafiki yake studio hiyo.
ndio imeishia hapo tu?..... ina maana ilikuwa fupi mno kihivyo?
Sidhani sababu kina Zembwela walimwabia muendesha kipindi aulize kuhusu mashangingi kama sugu ameshachukua la kwake na kwanini asitafute la second hand
Sidhani sababu kina Zembwela walimwabia muendesha kipindi aulize kuhusu mashangingi kama sugu ameshachukua la kwake na kwanini asitafute la second hand
Hapana ndugu Sugu aliitwa kimuziki zaidi, kwavile kina zembwela ndio walikuwa wanamaliza kipindi chao wakamuomba muendesha kipindi aulize haya maswali...., sasa kabla kipindi hakijaanza redio ikawa haishiki tena am sure ni mengi wameongea... kwahiyo naomba mwenye data atujuzesasa zembwela mtu wa midundiko mlitegemea awe na uwezo wa kuuliza maswali ya msingi?,.....ile redio hamna kitu kabisa...wao wapige muziki tu basi...nadhani labda angekuwepo yule jamaa Sebo, labda anemuuliza maswali ya msingi kidogo.