theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Ni katibu!!sawa mwenyekiti wa bunge
Mheshimiwa katupia kijanja aisee....Mbunge kasahau kuvaa soksi!!!!
Mwaka huu bila Camera itaonekana hufanyi kazi....Duh,kazi kweli kweli
Mkuu bila picha utaonekana hufanyi kazi kwa hiyo camera muhimu sana...Mmhh uyo dereva wa bajaji alijua aliyempakia?? (Kama amejua am charge Mara mbili ya gharama)
Kulikua na ulazima wa kujipiga mapicha??
No way!Duh,kazi kweli kweli
Ooooowh!! I seeMkuu bila picha utaonekana hufanyi kazi kwa hiyo camera muhimu sana...
Wamejipanga hao ni usanii tu hapo hakuna loloteMmhh uyo dereva wa bajaji alijua aliyempakia?? (Kama amejua am charge Mara mbili ya gharama)
Kulikua na ulazima wa kujipiga mapicha??