paka jimmy mi niko kwenye ndoa miaaka 2 sasa mkuu....
hilo bado lisiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa ama hata ukiwa na mahusiano na mwenzako/uchumba jifunze kutocheat
hahahahaha!mpwaaaz naona unatishia sasa....Kua uyaone Pdiddy!
Mi nijuavyo ni kwamba wewe uko single, na ndo maana kipindi fulani majuzi hapa uliomba kwa mods kuwe na jukwaa la kutafuta wachumba hapa!
Kucheat ni matokeo ya mambo kadha meengi ndani ya ndoa, ambayo hayaelezeki hapa..(kucheat unakoongelea nadhani unamaanisha kwa both sexes!)...Unaweza usielewe vizuri sasa na kumlaumu mwanandoa, hadi utakapokuwa kwenye hii taasisi.
Well, see you there!(when you get married)..!
eeeh eeh eeeh!What is this animal-thing called 'miaka miwili"
You are just a beginner dear...loong way to go!
Na nyie vijana wa siku hizi utakuta bado hujaamua kuzaa for all that period...kwahiyo bado mapenzi ni motomoto...bado hujaziona kero!
Iam not a crusader for cheating, na naogopa sana hii kitu, lakini i just beg you to be silent on this matter till when you get perfectly brewed!
Thank you!
wacha nibaki single kwa maoni hayo mmhhh
paka jimmy mi niko kwenye ndoa miaaka 2 sasa mkuu....
hilo bado lisiwe sababu ya kutoka nje ya ndoa ama hata ukiwa na mahusiano na mwenzako/uchumba jifunze kutocheat
...je kutoka nje ya mahusiano ni soln ya matatizo....hapana
...tafuta soln ya
matatizo yako na si kuongeza matatizo kwa kufikiri unapunguza matatizo
hahahahaha!mpwaaaz naona unatishia sasa....
eeeh eeh eeeh!
brother namna hii vijana watakuwa hawapeleki posaπ
Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young brodaπ).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!
una utani na wapare nini?...na kweli,
maji moto hayapozi kiu, kama picha ya samaki isivyo kitoweleo cha ugali!
duh!duh!duh!Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young brodaπ).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!
Geoff:
Hakuna haja ya kuongea kufichaficha hapa(i know what you are heading to, young brodaπ).
Lakini, spade lazima iitwe spade! and we should not decotare too much this marriage/relationship-thing!..Ndoa ni msalaba bana!
Wanandoa nimeona hili sasa ni kansa ya jamii
hivi ni kwanini unaamua kumcheat mwenzio wakati mwenzio\
hana hata hilo wazo kama kuna tatizo mnashindwa kumalizana\
je kutoka nje ya mahusiano ni soln ya matatizo....hapana
jaribuu kujitunza hata kama uliwahi kufanya acha tafuta soln ya
matatizo yako na si kuongeza matatizo kwa kufikiri unapunguza matatizo
nawatakia mahusiano mema wana ndoa/waachumba n wote watarajiwa
XMASS NJEMA