Nyamweru1
Member
- Oct 2, 2013
- 6
- 0
C ndo nikaingia! kufika ndani ckuona mtu. Nikashangaa! nikaona bora nitoke! ile natoka tu nikashikwa mkono, nikaulizwa unaenda wapi? nilishtuka! dahhh! kumbe ckupiga hodi. kugeuka nyuma wapo wengi ikabidi tu nisalimie, HABARI ZENU WANA JAMVI kwa busara zao hakuna alie bisha wote wakaitikia!!