Picha ya nini sasa mkuu. Mimi sio paparazi ndio useme labda ningekuwa nimempiga picha.Picha mkuu!
Na hako kajamaa kanafanya booking ya gerezaHako kabinti kanafanya booking ya matatizo. .
Kamfanyie kama kuswali kiarabu[emoji85] [emoji85] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468] [emoji468]Habari wakuu.
Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na jinsi ya kukwepa kuona labda kwa kufunga macho ndipo nikaona kaujumbe kanasomeka hivi: ''Unataka nikufanyie nini ili ujue kuwa nakupenda.'' Kilichonishangaza sana hapa haka kabinti kanaonekana kama kako under 18. Hatareee sana Mura.