Mhhhh jide katisha...ticket zote zimeisha...wambea mkafie geti la clouds

Mhhhh jide katisha...ticket zote zimeisha...wambea mkafie geti la clouds

Jide balaa katumia ugomvi wake na Ruge kufanya promo, hongera Gadna.
 
Kama kweli tikiti zimeisha aache tamaa ya kuongeza, azingatie mahitaji ya ukumbi ili watu wafurahie Huduma nzuri toka kwake!
 
Kaweka tarehe nzuri watu wanakua na hela mwisho wa mwezi huu, lazima wajae
 
Hahaha. Mjini bwana. Naskia ruge nae ana plan ya kufanya tamasha?
 
Hehehee mwisho wake sio mbali..jinga kabisa
 
Usikute ruge ndo kanunua nyingi,afu siku ya show kunakuwa na watu kiduchu,jide aweke akiba ya ticket kwaajili ya watakaonunulia getini kama mie na boy wangu tutakwenda ila bado hatujanunua ticket tunasubiria za kununulia getini
 
yaan hili wazo ulilolitoa lina-make sense,lakin issue nyingine ni kupata mpunga hata kama watu hawatakuja
 
Safi sana kila la kheri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hakika mungu hamtupi mjawake kila la kheri dada jide mungu azidi kukuonyesha njia daima.
 
Back
Top Bottom