Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds
Mimi ninazo mbili vipi nikutoe...
Hahaha. Mjini bwana. Naskia ruge nae ana plan ya kufanya tamasha?
Nyani Ngabu is peruzin dis .
Usikute ruge ndo kanunua nyingi,afu siku ya show kunakuwa na watu kiduchu,jide aweke akiba ya ticket kwaajili ya watakaonunulia getini kama mie na boy wangu tutakwenda ila bado hatujanunua ticket tunasubiria za kununulia getini