Mhhhh!!! ni ugomvi au

Ukiskia simba kala majani ndo hiyo...
 
Mhhhhh!...... Labda Punda alikatiza kati ya miguu yake? Ama Twiga yuko peke yake? Mh! Sijui!:llama:
 
Kwa binadamu ni even worse kwani unasikia binadamu kaingilia kuku/mbwa nk Twiga ameona ajivingari na mwana punda mtoto wa punda.
 
Hapo ni ngumu kuelewa kilichotokea,kuna sababu nyingi za hali hiyo kutokea na zaidi inaweza kuwa ajali kuliko tunavyodhani
 
Hapo ni ngumu kuelewa kilichotokea,kuna sababu nyingi za hali hiyo kutokea na zaidi inaweza kuwa ajali kuliko tunavyodhani

Huo sio ugomvi bali mzee twiga anataka kubadili ladha.
 
mbona bnadamu wanashikaga mbuzi bana!
maukwasi hayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…