Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa, hakuna ubishi kwamba, kuna mhimili mpya unaoitwa "WANAHARAKATI", ambao unaisimamia serikali na kuikosoa kuliko mhimili mwingine wowote ule. tunaweza therefore tukasema mihimili ni;
1. SERIKALI
2. BUNGE
3. MAHAKAMA
4. UANDISHI WA HABARI (sio rasmi)
5. WANAHARAKATI (sio rasmi ila una nguvu kuliko mihimili mingine yote)
na kwa namna teknolojia inavyozidi duniani, wanaharakati wamekuwa wakiogopwa na kusikilizwa na serikali kuliko hata bunge, yaani hata tukiamua kuweka bunge pembeni, waandishi wa harabi wasifanye chochote, tukaachia wanaharakati, watumie tu twitter, instagram na social media zingine, serikali inaweza kusimamiwa na kukosolewa? what's your thoughts on this;