kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Serikali, Bunge na Mahakama ni miti mikuu 3 ambayo inapaswa ijitegee kwa mashina, matawi na majani ingawa mizizi yao huko chini ya ardhi huenda itawa inawasiliana kwa namna moja au nyingine kusaidia ustawi wao. Wabunge wanamchagua mbunge mkuu (Spika) wao wenyewe kwanini wanasheria hawamchagui Jaji Mkuu wao wenyewe? Independence kwenye mhimili huu wa sheria iko wapi?