Mzuka wanajamvi!
Raia mwenye asili ya Asia akiwa kwenye pikipiki yake avamiwa na wezi kwenye Bodaboda kupigwa na kunyang'anywa begi baadaye ikagundulika kulikuwa na kiasi kidogo tu cha shilingi million 5 tiuu za Uganda.
Tukio hilo lilitokea mchana kweupe na lilinaswa na CCTV na polisi wameshindwa kumkamata hata mmoja.