D Dans B Member Joined Jun 4, 2018 Posts 10 Reaction score 6 Mar 5, 2024 #1 Habari za Muda huu waungwana. Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo. Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri kiundani na kuweka mambo sawa. Natanguliza shukrani.
Habari za Muda huu waungwana. Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo. Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri kiundani na kuweka mambo sawa. Natanguliza shukrani.
N NorthFace Member Joined Dec 7, 2022 Posts 56 Reaction score 52 Mar 24, 2024 #2 Kwa wanaohitaji kusafirishiwa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali Tanzania...wanaweza kuwasiliana na hawa jamaa kupitia 0653487816. Huduma zao ni za kusafirisha bahasha mpaka mizigo mikubwa (yaani Tani 30 na kuendelea) Ofisi zao zipo Kinondoni kwa Pinda Opp Phantom Energy Filling Station [emoji618]️. Ni kampuni inayofanya kazi kwa credit na cash.
Kwa wanaohitaji kusafirishiwa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali Tanzania...wanaweza kuwasiliana na hawa jamaa kupitia 0653487816. Huduma zao ni za kusafirisha bahasha mpaka mizigo mikubwa (yaani Tani 30 na kuendelea) Ofisi zao zipo Kinondoni kwa Pinda Opp Phantom Energy Filling Station [emoji618]️. Ni kampuni inayofanya kazi kwa credit na cash.
Grey256 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 1,236 Reaction score 2,600 Sep 15, 2024 #3 Umefunga profile mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 15, 2024 #4 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw