Kwa wanaohitaji kusafirishiwa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali Tanzania...wanaweza kuwasiliana na hawa jamaa kupitia 0653487816.
Huduma zao ni za kusafirisha bahasha mpaka mizigo mikubwa (yaani Tani 30 na kuendelea)
Ofisi zao zipo Kinondoni kwa Pinda Opp Phantom Energy Filling Station [emoji618]️.
Ni kampuni inayofanya kazi kwa credit na cash.