Basic salary ya mtu unakuta ni 400k. Heslb wachukue 15%, Paye wakate 8%, NSSF akatwe 10%. Hapo hapo atoe kodi ya pango na chakula. Hiyo hiyo atume kwa wazazi kijijini na ada za serikali alipe. Gesi imepanda. Mafuta ya kupika yamepanda. Hii nchi tunaongozwa na viongozi “wajinga”