Trojan Hors
Member
- Nov 13, 2023
- 24
- 5
Habarini wakuu,
Kama title inavyojielezea mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikana Jijini Mwanza ninatafuta nafasi ya kujitolea katika Makampuni au Biashara yoyote.
Fani yangu ni IT upande wa Mifumo ya Kompyuta hivyo naweza kufanya kazi zote zinazohusiana na Mifumo ukizingatia mambo mengi sasa kama tenda, usajili n.k yanafanyika mtandaoni.