Mhogo mbichi

Mhogo mbichi

kila chakula ni muhimu.... muhogo una wanga/starch...nguvu kibao huonegezeka mwilini. upo??? hakuna malovee hapa
 
Ila nitasikitika sana kama lengo la mada hii litabadilishwa na wachangiaji
Kwanini hii mada isipelekwe kwa JF Doctor
 
Mh enyi watwana mlijibu swali hili mnarefee kwenye muhogo ulopikwa au hata huo mbichi unaongeza nguvu?

Mimi sijui faida zake kutafuna muhogo mbichi.
Mbichi ndio mzuri zaidi Mwanajamii1
Kwamfano kuna muhogo mmoja unapatikana sana maeneo ya mikoa ya Lindi na Mtwara unaitwa muhogo Somoe ni mzuri sana na wenyeji wanau-reccommend kuwa ni mzuri sana katika kuongeza nguvu mwilini
 
Mh enyi watwana mlijibu swali hili mnarefee kwenye muhogo ulopikwa au hata huo mbichi unaongeza nguvu?

Mimi sijui faida zake kutafuna muhogo mbichi.
Muhogo mbichi ndio mzuri
Kwa mfano kuna muhogo unaitwa muhogo Somoe unapatikana mikoa ya Lindi na Mtwara ni mzuri sana katika kuongeza nguvu mwilini
Upate huo dada yangu MJ1
 
nguvu, nguvu, nguvu
nguvu gani hizo mboni hamsemi direct kama ni za kiume au za misuli??
aarrrghh.
 
Unajua muhogo ni starch na kazi ni kuongeza nguvu,sasa wewe kula nguvu utapata tu mwilini na hilo ulilolimaanisha pia utafanikisha tu sbb utakuwa umeshiba
 
Back
Top Bottom