Unaongeza nguvu
Mbichi ndio mzuri zaidi Mwanajamii1Mh enyi watwana mlijibu swali hili mnarefee kwenye muhogo ulopikwa au hata huo mbichi unaongeza nguvu?
Mimi sijui faida zake kutafuna muhogo mbichi.
Muhogo mbichi ndio mzuriMh enyi watwana mlijibu swali hili mnarefee kwenye muhogo ulopikwa au hata huo mbichi unaongeza nguvu?
Mimi sijui faida zake kutafuna muhogo mbichi.
kila chakula ni muhimu.... muhogo una wanga/starch...nguvu kibao huonegezeka mwilini. upo??? hakuna malovee hapa