Mhubiri wa kimataifa, Nabii Shepherd Bushiri atabiri Tanzania kuongoza nchi za Afrika kwa ugunduzi wa teknolojia

Toka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Jamaa anazingua sana afu ile miujiza feki yake anashtukiwa sana mara kwa mara.
Botswana walimfukuzilia mbali.
 
hana lolote huyo
anatumiwa na kina bashite
 
Sipingani na mawazo yako ila kwanza ungesoma ulichokiandika(kwenye post yako hii) kisha ukakielewa ni kuwa umesema umewaza nje ya vitabu vya wazungu halafu unataka kutumia knowledge na vipimo vya wazungu kufanya uvumbuzi wako? Kivipi?
 
Amesemaje kuhusu ugunduzi mpya nchini Tanzania ambapo mwanasiasa aliyechaguliwa na wananchi waliomuamini anajiuzulu, anagombea tena nafasi ile ile na tena kwa gharama kubwaa zaidi?
 
sijui kwa nini lakini nadhani huyu ametokea huko kwao kuja kunitabiria mimi, tokea kipindi nasoma sekondari mpaka sasa nime invest mda wangu mwingi kwenye ku-develop Tech systeams tofauti tofauti, kwa kipindi naanza nilitenga 4yr' ya kutengeneza Tech ideas kwa kizingatia development growh ya tech sector, Pia miaka 2' ya kutengeneza mtaja (30-50ml) wa kuanzisha tech campany na Miaka 4' ya kuleta mapinduzi africa na duniani. "kwa kipindi hicho cha miaka 4 nitakuwa 1st' billionair in africa na 7-25 world wide'
Huu ndo mwaka wa 4 wa miaka mnne ya kwanza.
20/09/2018
 
Muuongo huyo
 
Anataka sadaka huyo hhana jipya
 
Mkuu hongera
 
Shimo kubwa kabisa la kuingia kuzimu linapatikana Kilimanjaro.
 
Alikuwa anawafurahisha kondoa wa kiTZ ila kwa hali ilivyo hata tupewe miaka 70 katu hatutaweza na kufikia alichokitabiri
 



Anafahamu jinsi ya kula na kipofu, angetusema vibaya tungeacha kumsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…