Mhuni kakutana na gangwe

Nimekuja kugundua mwishoni kuwa hapa yanaongekewa mambo ya siasa tena baada ya kusoma comments πŸ˜‚πŸ˜‚

Kaka Mshana 🫑🫑
 
Mshana,mbona kanona halafu kakwamia mlangoni mwa oven?
 
Huyo kiumbe ndo yule asiyesikia?
 
Your browser is not able to display this video.
 

TL anafanya nini kule ndani? Maana ugomvi ni wa wenyewe kwa wenyewe
 
Huyu chaba sio muhuni, ni muhadzabe anayetrend kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…