Mhuni kakutana na gangwe

Mkuu umenikumbusha enzi zetu sisi vijana wa zamani;
Magangwe walikuwa mabitozi fulani sifa yao kubwa ilikuwa ni uwezo wa kujisaidia haja kubwa na kuondoka bila kuchamba!
Hao ndo magangwe.
Kwa style hiyo nishakustukia wewe sio kijana wa zamani ni shoga la elfu mbili na moja
 
Mnacheza ngoma msiyoijua

Matokeo yake mmemuacha somo kaya anateseka peke yake
 
Mkuu umenikumbusha enzi zetu sisi vijana wa zamani;
Magangwe walikuwa mabitozi fulani sifa yao kubwa ilikuwa ni uwezo wa kujisaidia haja kubwa na kuondoka bila kuchamba!
Hao ndo magangwe.
Hao walikua wanaitwa msela mavi

Gangwe alikua anachamba kwenye moto
 
Sahihi mzee wetu, nakumbuka miaka kadhaa ndio ilikuwa aka yangu, ilikuwa ni kawaida mtu akiniletea ujinga namfata muda wowote sehem yoyote hrf nampeleka sehem frani nilikuwa nimeipa Jina V NTALE, huko ni mwendo wa visas na kurekebisha tabia! Gangweee hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…