B BUCHANA Member Joined Feb 4, 2012 Posts 30 Reaction score 4 Apr 30, 2012 #1 Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje?
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Apr 30, 2012 #2 Umeitoa wapi?Au kwa mazombie?
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,392 Apr 30, 2012 #3 Hii haijakaa sawa. ipange upya
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Apr 30, 2012 #4 Hii kali sana ebu ichujue kidogo..
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Apr 30, 2012 #5 sijafahamu wala sijaelewa. I think I am confused and not convinced!
M Mkekuu JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,237 Reaction score 175 Apr 30, 2012 #6 Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra.
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,494 Apr 30, 2012 #7 Mkekuu said: Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra. Click to expand... Sasa si ungesema tangia mwanzo?
Mkekuu said: Hii ilikuwa sheria ya misri enzi ya Queen Chreopatra. Click to expand... Sasa si ungesema tangia mwanzo?
Rose1980 JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 5,684 Reaction score 1,305 Apr 30, 2012 #8 KAITOA CLOUDS ni mauchawi tu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 30, 2012 #9 BUCHANA said: Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje? Click to expand... Ni kama vile ulikua unasikiliza mahali, halafu ukaibeba kama ilivyo ukidhani tulikua tunasikiliza wote
BUCHANA said: Kwamba wanaume wanahitaji kuagana na wake zao kwa tendo la ndoa ndani ya masaa sita baada ya mke kufariki! imekaaje hii? Mwanamke akihitaji haki hiyo itakuwaje? Click to expand... Ni kama vile ulikua unasikiliza mahali, halafu ukaibeba kama ilivyo ukidhani tulikua tunasikiliza wote
T The Infamous JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 731 Reaction score 121 Apr 30, 2012 #10 Hapana jua hiyo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Apr 30, 2012 #11 ushirikina tu, utabakaje maiti?
ckabaka New Member Joined Apr 9, 2012 Posts 3 Reaction score 1 Apr 30, 2012 #12 Hao jamaa wamekosa ya kufanya ni kitu hakiwezekani kimfumo wa binadamu na unapo kufa mwili hukakamaa.
Hao jamaa wamekosa ya kufanya ni kitu hakiwezekani kimfumo wa binadamu na unapo kufa mwili hukakamaa.
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,829 Apr 30, 2012 #13 eeeh hili geni kwangu..........tchaooo