mhuu...naombeni mnipokee wana st.joseph univasity

jamani mi bao na utata kuhusu ada wakuu st. joseph ada ni2,750,000 possible loan 1,500,000.utata ni je? kunauwezekano wa kupata zaidi ya hiyo pesa au ndo muximum ya mkopo? kama upo unae soma au unafahamu kusu chuo hiki nijuze hasa kwa upande wa gharama.natanguliza shukrani kwa mchango wako.
 

hiyo ndo maximum loan kwa mwaka huu na mwaka jana ila kwa waliotangulia(mwaka 2 na 3 mwaka huu) wanapata 2.4 mil.so inabidi utafute source nyingine ya kupata ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…