Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

Wewe ni mimi kabisa.
Ndo inavotakiwa hivo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Suala siyo kulalamika nauli elfu 8, suala ni kukataa kufanywa mjinga na Mwanamke. Pesa siyo shida, shida ni kwa nini mtu ajaribu kuku outsmart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…