Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nimekuta mjadala huu sehemu. Inasemwa kuwa mijusi ina sumu na ni hatari. Pia imesemwa kuwa Mtume alisema atakayeiua atapata thawabu. Mambo haya yana ukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha! Mambo ya hii dini ya mnyezi Mungu ni magumu kwaleli!Nimekuta mjadala huu sehemu. Inasemwa kuwa mijusi ina sumu na ni hatari. Pia imesemwa kuwa Mtume alisema atakayeiua atapata thawabu. Mambo haya yana ukweli wowote?
Akili kumkichwa.Kuna vitabu vitabu havikutakiwa kusomwa hata karne ya ishirini kwasababu asilimia kubwa vimeandika ujinga
Vipi kiongozi hutumii dawa za kuua mbu nyumbani kwako ?Nimekuta mjadala huu sehemu. Inasemwa kuwa mijusi ina sumu na ni hatari. Pia imesemwa kuwa Mtume alisema atakayeiua atapata thawabu. Mambo haya yana ukweli wowote?
Kumbe ni kamera? Sikujua hiyoNasikia wana sumu wakiingia kwenye chakula
Wanatumika kichawi pia Kama mashushushu🤣🤣
Yeah..Kumbe ni kamera? Sikujua hiyo
Nasikia wana sumu wakiingia kwenye chakula
Wanatumika kichawi pia Kama mashushushu🤣🤣
Mjusi anatoa wapi sumu? Hili lingine nimekuta linajadiliwa na wadau.Mijusi Ina sumu ndio
Ila ilo ulilosema unauhakika nalo?
Hili wengi wanalisema. Ila ni fiksi tu za waamini uchawi. Kama tu wanavyowasingizia paka na bundi.Yeah..