Mi Mgeni JF

Mi Mgeni JF

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,796
Habari wakuu,
ndio nimejiunga Jf, Heshima yenu mliotangulia humu michango yenu ina manufaa makubwa kwa Taifa letu.
 
karibu sana .... hopefully umekuja na hoja chanya za kuweza kusaidia ukombozi wa taifa letu adhimu ....
 
karibu sana .... hopefully umekuja na hoja chanya za kuweza kusaidia ukombozi wa taifa letu adhimu ....

Tukishirikiana tutaweza kufanikisha adhma yetu ya Ukombozi.
 
ANGALIA WENGI WALIINGIA KWA KUPIGa HODI KM AKINA RITZ, MAJEBELE, MAFILILI, UVCC, REJAO NA WENZAO WAKAKARIBISHWA, NAPE NA MWIGULU WAKAWAKAMATA KWA BUKU7 7 PER DAY WAKAWA MASHABIKI PIA WAKARIMU WA SERIKALI HI YA CCM KIZIWI, KIPOFU PIA DHARIMU KWA WATU WAKE
 
Back
Top Bottom