Mi mgeni naomba ushirikiano wenu

Karibu sana kamanda ila ujifunze kuvumilia matusi na wala usiwajibu kwa matusi kwa sababu ndiyo tabia ya ccm, wajibu kwa hoja tu itawatosha.
 
Chama changu ni UKAWA


Karibu sana kamanda. Hata hivyo sina budi kukupa tahadhari kidogo! kwanza unatakiwa uwe ni mtu wa kufanya mazoezi mbio na viungo kila siku. Hii itakusaidia kukuweka fit kimwilimaana utarajie wakati wowote basi unaweza kufukuzana na Polisi pamoja na TCRA wachiliambali wale wanaCCM wachache waliobaki! Kumbuka lengo langu si kukutisha bali ni kukutahadharisha. Maisha yako na kura yako ni muhimu kwetu kwa maslahi ya mabadiliko. Karibu humu.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
japokuwa ni pasafi humu, ila usivue viatu mkuu. karibu kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…