DanbyHR
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 285
- 391
Hello! Habari za purukushani za siku? Kijana wenu mtafutaji kwa mara nyingine. Pole kwa wenye matatizo na shida mbali mbali Mwenyezi Mungu awajalie, na kwa wale wengine Mungu atuepushe na matatizo yale ya kimbele na yale tusiyoyaona kwa macho, abaliki utafutaji wetu.
Baada ya kuandika nyuzi kibao kutafuta mchongo huku na kule, nkaona ntumie akili ya ziada haya mambo hayaji kizembe. Huku kule kitu kikatema. Nkaona nifanye maajabu kabla mambo hajaanza kuwa mengi, ndivyo ikawa.
Sasa juzi kati niko mitaa natafuta daladala nkakutana na dada mmoja mzuri, nkaona isiwe tabu kama nkimsemesha manake nshachoka kuwa single na nimepita sana kwenye majukwaa ya mapenzi bilabila. Nkaanza kumsemesha mpaka tunafika kituoni yule dada hakujibu kitu zaidi tu ni lugha za mwili kuonesha dharau.
Picha likaja kuna jamaa angu sana, huwa analetaga hesabu fulani home, siku kaja kuleta hesabu kaja na yule manzi kwenye kandinga wamebebana. Yule manzi kuniona tu akasituka, mi nkawa kama sijawahi muona. Jamaa akaninong'oneza nimeopoa mtoto mzee, mi nkampa dole. Then akamtambulisha demu huyu jamaa DanbyHR ni bosi wangu, jamaa angu karibu ndani jisikie home.
Mi nkimcheki demu naona hazisomi kichwani. Baada ya maongezi kibao ya pesa na biashara. Nkamwambia jamaa hiyo gari nataka kuiuza ule ulikuwa ujana ila nina project inakuja usijali, jamaa akakubali. Tulivyoochana pale, kesho yake jamaa ananiambia eti demu anataka kukutana na mimi aombe radhi.
Leo picha linakuja nilikuwa nimeharikwa na bank moja hapa mjini kutoa seminar ya mambo yetu yale ya kiHR, kupeana uzoefu na kuwaupdate baadhi ya mambo wakae sawa. Sasa wakati naingia kwenye elevator nkakutana na mdada mzuri sana. Nkamkashia manake watu walikuwa wanajaa. Ilipofika floor ya 4 mi nkatoka zangu, kusalimu washikaji zangu manake jengo ni moja, nilikuwa nimewahi sana.
Muda ulipofika napanda elevator nkakutana tena na yule manzi nkamsalimia nkaongeza na sauti akakausha. Nlipokuwa naenda na yeye ndo anaenda humo humo nkabidi nijipendekeze tena, demu kimya na ananichora juu mpaka chini. Mi nkawasili kwa mwenyeji wangu, nkapewa one two, nkapelekwa chumba cha mikutano.
Nkakutana na wazee watu wazima wana uzoefu 10+ kwenye issue zetu za HR, so nkajipa moyo nmekuja kwa sababu. Umepigwa utangulizi na mbwembwe zingine, kale kamanzi kanaaingia kanaanza kugawa mafaili kwa mabosi wake af kakasimama pembeni, nkakacheki nkakakapotezea....
Muda wangu ukafika nkaanza toa mambo, maswali nawajibu nawaelekeza furesh... Almost masaa matatu manne mabosi wameenjoy wametosheka na somo. Wakafunga seminar yao. Mi nkasepa zangu.
Hivi navyowaambia haipiti dakika kumi kale kamanzi kanapiga piga simu, anataka nikutane nae.
Naomba kuwasilisha.