First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
- Thread starter

- #41

co hivyo mkuu hapa duniana ukitaka kushangaa kila kitu hutashangaa vingi maana mabo ya giza ni mengi na hayaishi,

kila siku mtu anakuja na jambo lake jipya, inabid kuyazoea tu na kusema ya kawaida hayo

Kumbe yupo eeeh?
hata wewe haya bwana goja nikalale maana nasikia pressure imeshuka siji tena huku mwezi

hamna bhana, nikusaliti we kabisa? Haiwezekani! Wewe tu wewe ndo wangu, hiyo ni experience tu.

hata wewe haya bwana goja nikalale maana nasikia pressure imeshuka siji tena huku mwezi
Yaani kama yuko hivyo jua wewe unachunwa tuu wala hakuna mapenzi hapo. Yaani wewe ni buzi tuu wala sio mtu wako

pole sana, ila apo imekula kwako, duuh, pengine ana mtu mwingine so anaogopa izo habari ikimffikia itakuaje.. heheheee