KITAULO
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,926
- 2,797
Wadau...
Mi natafuta wana wa kupiga nao story...wakija na wasichana itakuwa poa..though wana sijawatenga...mambo ya vibomu sitaki..kila mtu apambane na hali yake...kupangiana maisha vile vile sitaki..tuende taratibu..tabia za manzi kuanza kuwa maza angu sitaki kabisa...nilisepa home coz ya huo ubabe...
Jambo la wisho kila mtu kalelewa na wazazi tofauti tofauti...kupangiana jinsi ya kuishi sitaki..narudia tena sitaki......
For starting open relationship itafaa..baadae tukiona inafaa kuipiga lock itakuwa poa pia....
Slayqeen stay away..this is not for you...